Nambunga Secondari ni Shule ya bweni na kutwa, shule inapokea wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha nne na pia ina kidato cha tano na cha sita.
Shule inapokea wanafunzi wa bweni kwa kidato cha tano na cha sita na ni michepuo ya Sayasi.
Shule pia inapokea wanafunzi wa kutwa kwa kidato cha kwanza mpaka cha Sita.
Sule ya Nambunga Sekondari ipo Mkoani Mtwara katika Wilaya ya Newalala halmashauri ya mji Newala kata ya Mnekachi.
Shule ina mandhari nzuri ya kujifunza kwani ipo pembezoni na makazi ya watu hivyo ina utulivyo wa kutosha kwa wanafunzi kupata taaluma bora.
![]() |
FURAHA NDANI YA NAMBUNGA |