Mwanafunzi utakapokuwa unakuja shuleni ni vyema ukawa na vitabu vifuatavyo kwa matumizi yako binafsi
- BIOLOGY by DJ TAYLOR. Biology a functional approach 4th End by Greon and Sasan Toole.
- CHEMISTRY Physical chemistry by chan
- PHYSICS Physics for Advanced Level I and II by S chand
- GEOGRAPHY practical geography by zist kamili, physical geography by zisti kamili
- BASIC APPLIEDMATHEMATICS by TIE
- GENERAL STUDIES simplified general studies by Nyambari Nyangwine
NB: Ununuzi wa vitabu hivi pia inategemea na uwezo wa mzazi na ni muhimu kwani shuleni vinapatikana kwa uchache